WAJASIARIAMALI KATA YA KIMALA WAMETAKIWA KUWA WABUNIFU WA VYANZO VYA FEDHA.

Mjumbe wa halmashauri kuu Mh.KALIST J.LYIMO(M/H/Taifa(NEC)Wilaya kinondoni) amewataka wajasiriamali kijinasua katika Umaskini kwa kuwa na nidhamu na mikopo wanayopewa.Hayo ameyasema katika ufunguzi wa semina ya ujasiriamali na kuongeza kwamba akina Mama waunde vikundi vyao ili waweze kukopeshana wenyewe na kuepukana na benki kwa kuwa kuna riba kubwa.

Hasi Msome mwalimu wa taasisi ya Ekwa,amesema changamoto kubwa inayowakabili vijana ni kushindwa kujiunga na ujasiriamali kwa kuwa serikali na wazazi wanashindwa kuunga mkono shughuli zao.

Mjumbe wa halmashauri kuu Mh.KALIST J.LYIMO(M/H/Taifa(NEC)Wilaya kinondoni) 

Mjumbe wa halmashauri kuu Mh.KALIST J.LYIMO(M/H/Taifa(NEC)Wilaya kinondoni) akiangalia bidhaa za wajasiariamali

Wajasiriamali wa kikundi cha EKWA(elimu kwanza) wakifuatilia ufumbuzi wa semina.

Mjumbe wa halmashauri kuu Mh.KALIST J.LYIMO(M/H/Taifa(NEC)Wilaya kinondoni) akikagua bidhaa za wajasiriamali wa EKWA.

Wajasiriamali wa kikundi cha EKWA(elimu kwanza) wakifuatilia ufumbuzi wa semina.

Wajasiriamali wa kikundi cha EKWA(elimu kwanza) wakifuatilia ufumbuzi wa semina.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List