ma za Wizi wa Mazao ,
Serikali imejipanga vizuri kuboresha vyama vya Ushirika ili kumnufaisha mkulima wa Jembe la Mkono kuondokana na Umasikini wa Kipato kwa Wakulima wadogo wadogo mkakati huo pamoja na kuwapatia Mbegu zilizo bora,Wataalam wa Kilimo kupelekwa vijiji vyote nchini,wakulima kupatiwa Pembejeo .
Hata hivyo serikali imejipanga kumwezesha Mkulima kutumia Kilimo cha Umwagiliaji kuachana na Kilimo cha kubahatisha kutegemea Kilimo cha Mvua ambacho kisichokuwa na tija ya maendeleo ya taifa, hali hiyo imechangia kurudisha nyuma maendeleo ya Uchumi wa Taifa kwa muda mrefu.
Serikali imewapongeza wakulima katika kukabiliana na Changamoto mbalimbali za Kilimo ambapo wamefanikiwa kupata chakula kwa wingi hata nchi za jirani ikiwepo Kenya imeweza kununua Mahindi na Vyakula mbalimbali kutoka nchini,pamoja na kusaidia nchi ya Sudani ya Kusini yenye mahitaji kusaidia msaada wa Mahindi hali hiyo imeonyesha mafanikio ya Kilimo kuongezeka ikilingana na miaka mengine.
Serikali himewataka Wataalam wa Kilimo wasikae ofisini au mijini waende kwenye sehemu zao za Kazi kwenye mashamba ya Wakulima ili waweze kutoa elimu sahihi inayolingana na kazi zao.hata hivyo hivisasa wataalam hao wataongezwa kwakuwa idadi iliyopo ni ndogo aiendani na maitaji yaliyopo.
Hayo yamesemwa katika maonyesho ya Nane nane yaliyofanyika Kitaifa mkoa wa Lindi
Moja ya shamba la kilimo cha umwagiliaji yaliyopo katika viwanja vya ngongo lindi Maonyesho ya nanenane
Makam wa Rais akiwa na Waziri wa kilimo maonyesho ya nane nane
Makam wa Rais akiwa na Waziri wa kilimo maonyesho ya nane nane wakiangalia mashamba

0 comments:
Chapisha Maoni