Miongoni mwa masuala yanayotajwa kurudisha nyuma hatua ya mabadiliko ,ni pamoja na Ubinafsi,Dhuruma,Kutohudhuria vikao vyenye lengo la kupanga mikakati muhimu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Mhe Madabida ameyasema hayo kwenye Semina elekezi kwa Viongozi wa Halmashauri kuu kata ya Kimara wilaya ya Kinondoni jijini Dar Es salaam na kusema wakati umefika sasa wa Viongozi kubadilishana wenyewe kwa wenyewe bila kuoneana aibu ,ili pamoja na mambo mengine,kurejesha Imani ya wanachi kwao.
Naye Mwenyekiti wa Kata ya Kimara Amir Mganga amewataka Viogozi hao kuepuka vitendo vya dhuruma,hasusan kwenye kipindi cha Uchaguzi,ili kupunguza viongozi wasiopendwa na wanachi kuwapa ushindi wa dhuruma wanakiua chama kwa kuwa viongozi hao upita kwa njia za rushwa pia wanakuwepo kwa munufaa yao binafsi si ya wananchi.
Jumla ya Viongozi 48 wa Kata ya Kimara waliohudhuria Semina elekezi hiyo huku wakijipanga kurejesha majimo mawili Kawe na Ubungo yaliyochukuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Chadema pomoja na Kata14 zilizochukuliwa na vyama mbalimbali virudi mikononi mwa chama cha Mapinduzi
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi,Mkoa wa Dar es Salaam
Mh.Ramadhani Madabida
Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi,Mkoa wa Dar es Salaam
Mh.Ramadhani Madabida
Mwenyekiti wa CCM kata ya Kimara AMIR HATIBU MGANGA
Mwenyekiti wa Wilaya ya Kinondoni SALUM MADENGE
Viongozi wa kata ya Kimara wakisikiliza semina elekezi
Viongozi wa CCM meza kuu ikiongozwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa dar es salaam
Viongozi wa kata ya Kimara wakisikiliza semina elekezi
Viongozi wa kata ya Kimara wakisikiliza semina elekezi
Viongozi wa CCM meza kuu ikiongozwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa dar es salaam
0 comments:
Chapisha Maoni