Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipungia wananchi kwa furaha wakati akielekea
ukingoni mwa Mto Kilombero kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la
kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Anaoongozana nao ni pamoja
na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuri (kushoto kwa Rais), Waziri
wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa Ulanga
Mashariki Mhe. Celina Kombani (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe.
Joel Bendera (kushoto) na Mama Salma Kikwete (nyuma ya Rais)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akishangiliwa baada ya kuweka jiwe la msingi la
ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Pamoja
naye ni Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuri (kushoto kwa Rais),
Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Mbunge wa
Ulanga Mashariki Mhe. Celina Kombani (kulia), Mbunge wa Mama Salma
Kikwete (nyuma ya Rais), Mbunge wa Ulanga Magharibi Dkt Haji Ponda
(kulia) na Mbunge wa Kilombero Mhe Abdul Mteketa (kulia kwa Rais)
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Barabara (TANROADS) Bw. Patrick Mfugale juu ya ujenzi wa daraja la
kudumu juu ya mto Kilombero Agosti 20, 2014. Kushoto ni Waziri wa
Ujenzi Dkt John Pombe, Magufuri akifuatiwa na Mama Salma Kikwete.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe baada ya kuweka jiwe la msingi la
ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero wilayani Kilombero mkoa
wa Morogoro Agosti 20, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi
la ujenzi wa daraja la kudumu juu ya mto Kilombero wilayani Kilombero
mkoa wa Morogoro Agosti 20, 2014
Magari
yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha
kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa
Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa
darajan hilo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Agosti 20, 2014.
Magari
yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha
kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa
Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa
darajan hilo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Agosti 20, 2014.
:Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu madawati mapya ya shule ya msingi ya
Epauko wilayani Mahenge baada ya shule hiyo kukabidhiwa msaada wa
madawati 500 na Kampuni ya Kibaran Resources Ltd inayojishughulisha na
uchimbaji wa madini aina ya Graphite na Nickel mkoani wa Morogoro Agosti
20, 2014.
0 comments:
Chapisha Maoni