Hii inatokana na sekta ya madini kuwa na ugeni katika fani ya uandishi nchini hivyo juhudi za kuhakikisha waandishi wa habari wanatoa taarifa sahihi zitakazoweza kusaidia hata utunzaji wa mazingira na kuepusha migogoro na Serikali inayotokana na sekta ya madini.
Mkurugenzi wa T.P.D.C .anayefahamika kwa jina la DR,Emma.S.Msaky amewataka waandishi kutumia kalamu zao kuandika habari za Gasi asilia na kuelezea ubora wake pamoja na usalama kwa matumizi ya jamii ili kukuza uchumi wa Tanzania.DR.Emma.S.Msaky ametoa rai kwa wananchi kuandika habari sahihi na kuepusha uchochezi ili kutoa fursa kwa sekta ya madini kusaidia kukuza uchumi wa Taifa.Pia aliongeza Waandishi waliopatiwa mafunzo wanatakiwa kuwa mabalozi wazuri kwa waandishi wenzao.
Waandishi kumi waliopatiwa mafunzo kwa mda wa miezi sita ,lengo ni kuwa mafunzo endelevu ili kusaidia uelewa juu ya sekta ya madini nchini Tanzania.
Mkurugenzi wa T.P.D.C DR.EMMA.S.MSAKY
Mkurugenzi wa mfuko wa vyombo vya Habari Tanzania ndugu,Ernest Sungura
Waandishi wa habari wakipokea vyeti vya ushiriki wa mafunzo ya sekta ya madini kwa waandishi wa habari.

Wataalamu waliwatunikia vyeti washiriki wa mafunzo ya sekta ya madini kwa waandishi wa habari.
Wadau walioshiriki ufungaji wa mafunzo ya sekta ya madini kwa waandishi wa habari.
Picha ya pamoja baada ya kufunga mafunzo kwa waandishi wa habari.
0 comments:
Chapisha Maoni