Waziri mkuu amesema kuwa kilimo kina nafasi kubwa ya kukuza uchumi iwapo wazalendo watapata nafasi ya kuwekeza katika kiwanda na viwanda hivyo kutumia mazao yatokayo kwa wakulima.Amesema ni vema sekt binafsi ikipata nafasi ya kushirikiana kikamirifu na seriakali katika kukuza uchumi wa Tanzania.Pia huu ni wakati wa kuwajali wajasiriamali kwa kuwapatia mitaji kwa riba stahiki ili waweze kujiletea maendeleo endelevu.
Naye waziri wa nchi ofisi ya Rais Uhusiano na Uratibu Stiven Wasira ameelezea mpango mzima wa maendeleo kwa faida ya watanzania.
Benki ya PTA ipo kwa lengo la kusaidia Afrika kuendeleza uchumi kwa wananchi wa kawaida pamoja na sekta zinazofanya kazi kubwa za kukuza uchumi pamoja na utoaji wa riba nafuu kwenye mikopo nchini.
Waziri mkuu Mh:Mizengo Pinda akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada kumaliza ufunguz wa mkutano wa magavana wa Benki ya PTA jijini Dar es salaam.
Waziri mkuu Mh:Mizengo Pinda akifanya mahojiano na waandishi wa habari baada kumaliza ufunguzi wa mkutano wa magavana wa Benki ya PTA jijini Dar es salaam.
Wadau wa maendeleo walioshiriki katika mkutano wa Magavana wa Benki wa Benki ya PTA jijini Dar es salaam.

Meza kuu siku ya ufunguzi wa mkutano wa Magavana wa Benki wa Benki ya PTA jijini Dar es salaam.
Waziri mkuu Mh:Mizengo Pinda akifungua mkutano wa Magavana wa Benki wa Benki ya PTA jijini Dar es salaam.
Wadau wa maendeleo walioshiriki katika mkutano wa Magavana wa Benki wa Benki ya PTA jijini Dar es salaam.
Wadau wa maendeleo walioshiriki katika mkutano wa Magavana wa Benki wa Benki ya PTA jijini Dar es salaam.
0 comments:
Chapisha Maoni