  | 
Bondia Juma Fundi na Issa Omari wakitunisha misuli baada ya makubariano yakuzipiga kwa mara ya 
pili siku ya septemba 27 katika ukumbi wa 
 
 | 
Bondia Juma Fundi na Issa Omari 
wakitunishiana misuli baada ya makubariano yakuzipiga kwa ajili ya 
kuzipiga siku ya septemba 27 katika ukumbi wa 
 Na Mwandishi Wetu
MABONDIA
 Sadiki Momba na Adamu ngange nusura wazitwange kavu kavu 
walivyokutanishwa kwa mara ya kwanza kutangaza mpambano wao mbele ya 
waandishi wa habari Dar es salaam jana 
mabondia hawo watakaozichapa  
 septemba 27 katika ukumbi wa 
 friends corner hotel manzese Dar es salaam
wakisindikiza
 mpambano wa bondia Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani mabondia hawo 
walitambiana kila mmoja akidai yeye ni zaidi ya mwenzie katika masumbwi 
na hata sasa wanaweza kupigana kwa kuwa kila mmoja anadai yupo fiti 
wakati wowote hata hivyo wanasubili siku ya mpambano huo
 
mbali
 na mpambano huo kutakuwa na mpambano mwingine kati ya Juma Fundi na  
Issa Omari nawo walitambiana na kuaidi kucheza mchezo mzuri
mbali
 na michezo hiyo pia siku hiyo kutakuwa na mpambano wa masumbwi ya 
wanawake ambapo mabondia Lulu Kayage atavaana na Fatuma Yazidu mpambano 
wa raundi nne
siku
 hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha 
mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua
mpaka
 kujua kitu kamili katika mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya 
mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd Maywether, Manny 
Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani
                            About 
                            SDM PRODUCTION MEDIA
 
                            This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
                          
 
 
 
0 comments:
Chapisha Maoni