Wanafunzi nchini wameshauriwa wasome masomo ya Sayansi
zaidi ili waweze kuwa na uwanja mkubwa
wa kwenda kidato cha Tano pia kupatikana kwa wataalam wengi wa ndani wakiwepo
Madaktari Bingwa wa magonjwa mbalimbali
kutoka ndani ya nchi.
Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari St.Mark's ndugu,LETISIA JOSEPH aliongezea kuwa ili nchi iweze kumudu uchumi
wake ni lazima iwe na wataalamu wengi wa ndani ambao watakuwa na uwezo wa
kumudu sekta mbalimbali.Pia ameomba Serikali kutengeneza mazingira mazuri ya
wanafunzi wa Elimu ya juu wanasoma masomo ya sayansi.
Idadi ya wanafunzi waliohitimu ni 278 ambapo wasichana ni 182 na wavulana 96
Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari St.Mark's ndugu,LETISIA JOSEPH
Wanafunzi na wazazi wakiwa katika hali ya furaha siku ya mahafali ya kidato cha nne.
Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari St.Mark's ndugu,LETISIA JOSEPH
Wanafunzi na wazazi wakiwa katika hali ya furaha siku ya mahafali ya kidato cha nne.
Mwalimu mkuu wa shule ya Sekondari St.Mark's ndugu,LETISIA JOSEPHST
0 comments:
Chapisha Maoni