UVCCM KULIPIGANIA JIMBO LA KAWE

Chama cha Mpinduzi(CCM) kimefanikwa kuamsha hisia za watu wengi hususani vijana wa Kata ya Kawe ambapo UVCCM imefungua mashina tisa ya wakeleketwa wa CCM vijana.Mbali na kufunguliwa na mashina hayo ya wakeleketwa UVCCM kata ya kawe imesema italipigania jimbo hilo mpaka mwisho.

Mh.MUTTA RWAKATALE(Mlezi wa wazazi kata ya kawe) ambaye ndie mfunguzi wa baadhi ya mashina hayo amesema vijana ni lazima washirikiane na kujenga umoja wenye nguvu ili kusaidia chama cha mapinduzi.Pia ameongeza kwamba kata ya kawe inahitaji vijana wa UVCCM wenye uwezo wa kutumia Elimu,Nguvu na Maarifa katika kuinua shughuli mbalimbali za chama na Tanzania kwa ujumla.

Akiongea na Blog Mh.COLMAN MASAWE(Mlezi wa vijana kata ya kawe) amesema bado CCM ina nguvu na uwezo wa kutosha kufanya mabadiliko ndani ya jamii na UVCCM ndo msingi pekee wa kujenga viongozi bora wa Tanzania hivyo ni lazima wajitume na kufanya umoja wa vijana kuwa shule ya mafunzo ya viongozi waadilifu wa Tanzania.

Mh.MUTTA RWAKATALE(Mlezi wa wazazi kata ya kawe) akifungua mashina kata ya kawe

Mh.MUTTA RWAKATALE(Mlezi wa wazazi kata ya kawe) akiongea na vijana wa UVCCM


Mh.COLMAN MASAWE(Mlezi wa vijana kata ya kawe)

baadhi ya mashina yaliyofunguliwa kata ya kawe ya UVCCM

Mh.MUTTA RWAKATALE(Mlezi wa wazazi kata ya kawe) akiongea na vijana wa UVCCM

Viongozi wa CCM na UVCCM wakifuatilia michezo kwa makini

Michezo ikiendelea siku ya ufunguzi wa mashina ya wakeleketwa wa UVCCM kata ya Kawe.

Viongozi wa CCM na UVCCM wakifuatilia michezo kwa makini

Viongozi mbalimbali wa UVCCM na CCM

baadhi ya mashina yaliyofunguliwa kata ya kawe ya UVCCM

Viongozi wa CCM na UVCCM wakifuatilia michezo kwa makini

Mh.COLMAN MASAWE(Mlezi wa vijana kata ya kawe)akifungua mashina ya wakeleketwa wa UVCCM kata ya Kawe.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List