Katika makubaliano hayo wameamua kwa pamoja kuweka ulinzi wa pamoja katika kulinda wanyama kwenye mipaka ya nchi hizp ikiwemo Kenya ,Uganda ,Rwanda ,Burundi na nchi mwenyeji wa mkutano huo Tanzania .
Ushirikiano huo unakwenda sambamba na suala la ulinzi lilanalosimamiwa na wizara ya Ulinzi iliyoahidi kuwalinda wanyama hao ambao wamekuwa wakiuwawa bila sababu husasani Tembo.
Wenyeji Tanzania wamekuwa ni wazungumzaji wakuu katika mkutano huo uliohudhuliwa na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi .
Uwindji haramu wa tembo unaelezwa na watafiti wa sayansi na viumbe kuwa ni mkubwa katika nchi za Afrika Mashariki huku nchi hizo zikidaiwa kutokana na takwimu sahihi za mauaji ya wanyama hao.
Mh.Lazaro Nyarandu(Waziri wa Maliasili na utalii)
Mh.Peter Msigwa(waziri kivuli wa maliasili na utalii)
Mh.Kaika Oleselele(Naibu waziri wa mifugo)
Mh.Peraira Silima(Naibu waziri wa Ulinzi)
Viongozi walioshiriki mkutano kutoka nchi mbalimbali
Viongozi walioshiriki mkutano kutoka nchi mbalimbali
Viongozi walioshiriki mkutano kutoka nchi mbalimbali
Mh.Lazaro Nyarandu(Waziri wa Maliasili na utalii) akisisitiza suala la ulinzi wa wanyama poli dhidi ya majangili wauaji wa wanyama hao.
Viongozi walioshiriki mkutano kutoka nchi mbalimbali
0 comments:
Chapisha Maoni