Waziri wa kilimo Eng . Christopher Chizza amesema kwa sasa serikali imebuni taratibu mpya zitakazokuwa zikisimamiwa na wakulima wenyewe kupitia vikundi vidogo vidogo vilivyoundwa kwa ajili ya kukabiliana na changamoto hiyo .
Kupitia taarifa yake kwa wakulima hao Waziri Chizza anawataka wakulima kutovunjika moyo kutokana na serikali kubuni mbinu mpya za kudhibiti tatizo hilo ambapo pia itawanufanisha wakulima hao wadogo kiuchumi
Kwa sasa anawataka wakulima hao kujipanga upya kupitia vikundi vyao ambavyo vitawasiidia kupata mikopo katika tasisi za mikopo na kurudisha kwa riba ndogo iliyo punguzwa kwa asilimia 4 kupitia serikalini.
Kilimo cha hapa nchini kimeendelea kutawaliwa na wakulima wadogo wadogo ambapo karibu asilimia 70 ya kilimo hicho kinategemea jembe la mkono,asilimia 20 jembe la kukokotwa na ng'ombe na asilimia 10 matumizi ya trekta.
Eng:Christopher Chizza(Waziri wa Kilimo)
Baadhi ya mazao yanayozalishwa Tanzania na wakulima wa Ndani

0 comments:
Chapisha Maoni