BONDIA Said Mbelwa mwenye rekodi ya kushinda 27,kupigwa 16 na
drawn 4 ambapo ana jumla ya mapambano
48 aliyocheza ameapa kumchakaza mpinzani wake george Dimoso mwenye rekodi ya kushinda mapambano 11 kupigwa ,10 ,
drawn 2 na jumla ya michezo aliocheza na
23
siku ya
siku
hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha
mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua
mpaka
kujua kitu kamili katika
mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya
mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd
Maywether, Manny
Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni