Mkuu
wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata
utepe kwa ajili ya kumkabidhi MwalimuMkuu wa Shule ya Msingi Msasani
B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa ukarabati pia
ilikabidhi madawati na mikoba ya shule hivi karibuni jijini Dar as
Salaam.
Mfanyakazi wa FNB Bi Dora Bundala akimuelekeza kuchora mwanafunzi wa
darasa la kwanza wakati FNB ilipokabidhi madarasa , mikoba ya shule ,
vitabu ,na rangi Katika shule ya Msingi Msasani B hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mkuu wa Idara ya fedha ya FNB
Bw.Luke Woodford akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani B
wakati FNB ilipokabidhi madarasa yaliyokarabatiwa, madawati na mikoba
ya shule hivi karibunini jijini Dar as Salaam
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
UNAISHIWAJE PAWA KWA KUPANDA MLIMA LOLMALASIN ?
-
Wakati anamsifia mpenzi wake Msanii Mbosso aliimba “ _Kamusi namaliza
kurasa kukusifia”_ ,na akahitimisha kwa kusema anaishiwa pawa kwa kuwa
penzi la huyo...
0 comments:
Chapisha Maoni