Jamii nchini wameshauriwa kutumia bidhaa bora ya Gurudumu
imara kwa Mabasi makubwa ya kusafiria abiria kwenye safari ndefu za mikoa
mbalimbali pamoja na nchi jirani ili kuhepusha ajari zisizotarajiwa
zinazosababishwa na bidhaa feki za Taili wanazotumia baadhi ya Wamiliki wa
Mabasi kwa kufata uraisi wa gharama ndogo.
Hayo yameelezwa baada ya Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya
MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer
Manufacfacture Co.Ltd iliyopo jijini Dar Es salaam kila mmoja anatakiwa kuwa
muhaminifu katka hali ya kuchukua abiria
wawepo kwenye hali iliyokuwa salama.
.Dr Felix Mwakyembe Waziri wa miundombinu aliweza kuzindua Gurudumu ilo la MICHELIN .X.COACH.TROPIC Z
315/80R22.5 ambapo aliweza kuwapongeza Kampuni ya Superdoll kuwa na bidhaa
zilizokuwa bora zenye uwezo wa Kimataifa ,unapokuwa na bidhaa ya Gurudumu za
basi hizo una huwakika na mwendo wa safari kuwa salama kwa abiria.
Dr Felix Mwakyembe Waziri wa miundombinu amewataka Wamiliki wa Mabus watumie Magurudumu
ya MICHELIN. X.COACH.TROPIC Z.315/80R22.S
kwakuwa bidhaa hiyo ni bora hata baadhi ya Wamiliki wanaotambulika
nchini wanatumia bidhaa hizo huwa magari yao hayapati ajari za mara kwa mara
kampuni hizo ni DAR EXPRESS CO.LTD
pamoja na Kampuni ya ABOOD BUSS SERVICE, huku akiwatupilia lawama kwa
wale wamiliki wasio jari abiri wao kwa kutumia bidhaa zisizokuwa na kiwango ili
wapate faida kubwa.
Dr Felix Mwakyembe Waziri wa miundombinu amewataka Sumatra kuwajibika katika swala la
kusimamia Mafuta,kwani jambo ilo limekuwa ni kelo nchni kwa wamiliki wa vyombo
vya moto,walifatilie ili uchumi uweze kuongezeka kwa fanyabiashara wa vyombo
vya Moto.
Mmiliki wa Kampuni ya DAR EXPRESS CO.LTD bwana Yudika Mremi mteja wa Gurudumu la MICHELIN kwa muda wa miaka 10 amekuwa mnunuzi wa
Gurudumu la MICHELIN ambapo amekuwa mteja mzuri wa Superdol ,lakini amesema
tatizo kubwa wamiliki wa Mabus wanashindwa kununua kutokana na bei kuwa na
gharama kubwa kushindwa kumudu gharama hiyo.
Bwana Mremi ameomba kwa serikali isadie kupunguza bei ya bidhaa hizi kwa kuwa punguzia ushuru wafanyabiashara ili waweze nao kuuza kwa gharama nafuu kila mmoja aweze kumudu kununua Gurudumu hizo.
Wadau wa Miundombinu na Usalama wa Barabara wakiwa katika Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer Manufacfacture Co.Ltd
Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer Manufacfacture Co.Ltd
Mmiliki wa Kampuni ya DAR EXPRESS CO.LTD bwana Yudika Mremi mteja wa Gurudumu la MICHELIN kwa muda wa miaka 10
Meza kuu ya Wadau walioshiriki siku ya Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer Manufacfacture Co.Ltd
Baadhi ya Magurudumu bora zaidi Tanzania toka Kampuni hiyo yakionyeshwa siku ya Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer Manufacfacture Co.Ltd
Wadau wa Miundombinu na Usalama wa Barabara walioudhuria Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer Manufacfacture Co.Ltd
Picha ya Pamoja kabla ya Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer Manufacfacture Co.Ltd
Mmiliki wa Abood bus service akipewa tuzo ya ununuzi wa Magurudumu bora ya MICHELIN
Wadau wa Miundombinu na Usalama wa Barabara walioudhuria Uzinduzi wa Gurudumu la aina ya MICHELIN X.COACH.TROPIC Z 315/80R22.5 zinazohuzwa na Kampuni ya Superdol I Trailer Manufacfacture Co.Ltd
Dr Felix Mwakyembe Waziri wa miundombinu
0 comments:
Chapisha Maoni