Chama cha mapinduzi manispaa ya Ilala kimewaonya viongozi wa chama na Serikali wilayani humo walioshindwa kutekelea vema miradi iliyopo kwenye Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2010,Huku kikihaahidi kuwachukulia hatua za kisheria kwa kushindwa kufanya hivyo.
Mbunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema swala la
viongozi wababe wanaokwamisha maendeleo kwa manufaa yao binafsi hawata wafumbia macho kwa manspaa ya Ilala
kwa kuwa ni tatizo kubwa la maendeleo kwa jamii lazima kuwahonya bila
kuwafumbia macho,kwa kuwa wananchi wanyonge wanaendelea kupata shida.
Naye Diwani wa kata ya Vingunguti Asaa Simba amesema manspaa
hiyo bado inakabiliwa na tatizo kubwa la usafi wa Mazingira ametoa wito kwa
vyombo husika wasamamie vizuri kwa kuwa uchafu
utaatalisha afya bora kwa
Wananchi,viongozi huwezi tawala watu wasio salama kiafya.
Kwa upande mwingine chama cha mapinduzi kata ya Ndugumbi
wilaya ya Kinondoni wamekuwa na mkutano mkubwa wa hadhara kwa Wananchi kuangalia
Irani ya CCM utekelezaji wa maendeleo kwa jamii.
Mbunge wa jimbo la kinondoni Iddy Azan amesema Serikali
imejipanga vizuri kutatua tatizo la maji kwa kuboresha miundombinu iliyopo ni
chakavu pia aikidhi mahitaji kwa Wananchi kwa kuwa Idadi ya watu imeongezeka
kwa Kiwango kikubwa ukilingalia na Idadi ya watu waliokuwepo zamani ni wachache
wakijenga miundombinu hiyo.
Baadhi ya viongozi waliodhuria mkutano huo wamesikitishwa na
baadhi ya watu wanao pinga katiba mpya
kwa kuwa waliomba ibadilishe,pia baadhi ya wazazi na walimu wanaokwamisha
maendeleo ya Elimu kwa Manufaa yao binafsi na sio taifa.
Serikali imejipanga
kutekeleza miradi ya maendeleo nchini ikiwepo
Maji,Elimu,Afya,Kilimo,Miundombinu ya Barabara pamoja na maswala ya
ujasiriamali kwa wananchi miradi hiyo kwa utekelezaji ikisimamiwa na Chama cha
mapinduzi.
Mbunge wa jimbo la Ilala Mh.Mussa Azzan Zungu
Diwani wa Kata ya Vingunguti Mh.Asaa Simba
Wajumbe wa Balaza la Halmashauri kuu ya Wilaya ya Ilala.

Viongozi wa CCM wilaya ya Ilala wakisimamia Mkutano wa Halmashauri kuu Wilaya ya Ilala.
Viongozi wa CCM wilaya ya Ilala wakisimamia Mkutano wa Halmashauri kuu Wilaya ya Ilala.
Viongozi wa CCM wilaya ya Ilala wakisimamia Mkutano wa Halmashauri kuu Wilaya ya Ilala.
Msanii wa Sanaa akionyesha umahiri wa kucheza na Nyoka.
Viongozi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara kuelezea utekelezaji wa Irani ya CCM Kata ya Ndugumbi.
Wanachama wa CCM wakifatilia mkutano kwa makini.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni Mh.Salum Madenge akisaini baada ya kuingia kwenye mkutano.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mh.JOSEPH KINESI akimnadi Kamanda wa Vijana
Viongozi wa CCM wakiwa katika mkutano wa hadhara kuelezea utekelezaji wa Irani ya CCM Kata ya Ndugumbi.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mh:Joseph Kines
Diwani wa kata ya Ndugumbi Mh:Lucas Mgonja.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Mh.Iddy Azzan
0 comments:
Chapisha Maoni