KWA NAMNA HII VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA TUTASHINDA TANZANIA

Watuhumiwa wafanya Biashara haramu wa dawa za kulevya wakamatwa na kilo saba za Dawa za Kulevya aina ya Heroin,zinazodhaniwa kuwa na thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 300 usiku wa kuamkia Jumanne hii.

Watu hao wamekamatwa maeneo ya Magomeni jijini Dar es Salaam,usiku wa kuamkia Jumanne hii.
Wafanyabiashara wanaoshikiliwa na Jeshi la Polisi Kitengo cha kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya watuhumiwa hao  ni Mwalami Mohamed Chonji,Mariki Zuberi,Taka Adam,Rehan Musso na Abdul Abdallah ambao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya upelelezi kukamilika.

Kamishina msaidizi Mwandamizi wa Kitengo hicho,Godfrey Nzowa amesema,kukamatwa kwa watu hao kunafuatia taarifa kutoka kwa raia wema waliowatilia shaka watu hao.


Aidha,kamishna Nzowa ameendelea kuwataka wananchi kuachana na Biashara hiyo haramu,ikiwa ni pamoja na kutoa wito kwa wakulima wanaozalisha zao la bangi kuacha mara moja ,kwa kuwa zao hilo ni miongoni  mwa dawa za kulevya.Zaidi ya kilo mia tatu za Heroin zimekamatwa na kitengo  hicho tangu kuanza kwa mwaka huu.Hali hiyo inayopunguza kasi ya biashara hiyo hapa nchini.
GODFREY NZOWA(Kamishina msaidizi Mwandamizi kitengo cha kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya) akionyesha baadhi ya madawa yaliyokamatwa.

Baadhi ya Dawa za kulevya zilizowahi kukamatwa na GODFREY NZOWA

GODFREY NZOWA(Kamishina msaidizi Mwandamizi kitengo cha kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya)

Dawa za kulevya  zilizokamatwa leo Magomeni aina ya Heroin kilo saba zenye thamani ya shilingi Bilioni 300 

Dawa za kulevya  zilizokamatwa leo Magomeni aina ya Heroin kilo saba zenye thamani ya shilingi Bilioni 300 

Mizani iliyokuwa inatumika kupimia Dawa za kulevya.

Kifaa kimojawapo ambacho wamekamatwa nacho watuhumiwa hao wa Dawa za Kulevya.

Dawa za kulevya  zilizokamatwa leo Magomeni aina ya Heroin kilo saba zenye thamani ya shilingi Bilioni 300 

GODFREY NZOWA(Kamishina msaidizi Mwandamizi kitengo cha kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya) akionyesha baadhi ya dawa za kulevya yaliyokamatwa.

GODFREY NZOWA(Kamishina msaidizi Mwandamizi kitengo cha kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya) akionyesha baadhi ya dawa za kulevya yaliyokamatwa.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List