Wahandishi wa Habari wa Startv jijini Dar Es Salaam wakiwa
makini kila mmoja anawajibika katika kuelimisha
Jamii kwa kutowa habari sahihi zisizopotosha au kuchochea,kwa kuendana
na misingi ya Habari.
Wakiongea na mwandishi wa Habari ya Blog hii wamesema kila
mwandishi wa habari anatakiwa kufanya kazi kwa misingi bora ya habari ili iweze
kulinda amani na utulivu wa taifa la Tanzania bila kuelemea upande wowote wa
kutowa habari.
Mwandishi wa habari anatakiwa kubalance habari bila kuegemea
upande wowote,hata hivyo habari za kisiasa zinatakiwa kuweka uzalendo pamoja na za michezo ili kuendana sambasamba
na mahadili ya uandishi hayo yamesemwa baada ya kufanya mahojiano na mwandishi
wa blog hii.
Mhariri wa Startv Tom Chilala amekemea kwa baadhi ya watu
wanaoharibu taaluma za kazi za watu hasa kwenye taswira za habari maarufu kwa jina
la Makanjanja.wabadilike wasitake kupitia njia za mkato katika maisha anaweza
kujikuta anapata matatizo ya
udanganyifu.
Naye mwandishi wa michezo Startv Ahmedy Ally amesema ipo haja
kwa mwandishi kupenda kazi yake,kushirikiana ili taaluma ya habari iweze
kuheshimika nchini na kuleta tija ya maendeleo ya uchumi.
TOM CHILALA(mhariri wa Star TV)Katikati akiwa na wafanyakazi wenzie
Wafanyakazi wa Star Tv wakiwa katika majukumu ya kazi.

0 comments:
Chapisha Maoni