Rais wa Jamhuri ya
Mungano Tanzania Mh. Jakaya Kikwete akipokea Katiba Mpya inayopendekezwa kutoka
kwa aliyekuwa mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh.Samwel Sitta wakati wa
hafla iliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma juzi,katikati ni rais
wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein
Rais Kikwete alieleza maeneo matatu yenye utata ambayo
yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi ili kufanikisha hatua hiyo.
Alisema suala la kwanza ni ratiba iliyotolewa na Tume ya
Taifa ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu ujao ambayo inaonyesha mchakato wa
kuandika upya Daftari la wapiga kura utakamilika Mei.2015.
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema haitaendesha uchaguzi
wa aina yeyote,wala kuitisha kura ya maoni hadi kazi ya kuboresha daftari lakudumu la wapiga kura itakapokamilika.
Kauli ya NEC imekuja siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete
kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na Mwenyekiti wa lililokuwa Bunge Maalumu la
Katiba Samweli Sitta na kulitaja suala la Uboreshaji wa daftari hilo kama mambo matatu yanayoweka kura ya
maoni kupitisha katika hiyo njia panda mambo mengine ni sheria inayotaka kura
hiyo ipigiwe ndani ya siku 84 baada ya Katiba inayopendekezwa kuchapishwa na
kufanyiwa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya Katiba.
Mwenyekiti wa NEC,Jaji Damian Lubuva alisema kuendesha
uchaguzi bila kuboresha daftari hilo ni kuongeza malalamiko kwa wananchi na
wadau husasan vyama vya siasa.
Msimamo wa NEC bila daftatari kboreshwa awapo tayari
kuendesha uchaguzi wowote hata wa kura ya maoni,alisema sasa kuna takribani
vijana milioni .2.3 ambao wamefikisha umri wa kupiga kura,kuna watu waliokufa
vyote hivyo vinatakiwa kuboreshwa na Tume awapo tayari kwa sasa wananchi
inapaswa wafahamuKuhusu hoja NEC itumie daftari lililopo kama ambavyo
wamefanya katika uchaguzi mdogo mara kwa mara pale Mbunge anapofariki
dunia,Jaji Lubuva alisema Tume yake haitaki yajiridie malalamiko ambapo
imeyapata kupitia uchaguzi wa aina hiyo.
Katika uchaguzi wa Kalenga,Arumeru mashariki na
Chalinze malalamikonyalitolewa kwa wingi
kuhusu matumizi ya daftari hivyo kutokana na malalamiko hayo yaliyotokana na
vyama vya siasa awatapenda tena kupata
mengine kama hayo.
Kuhusu lini kuboresha daftari hilo itaanza,Jaji Lubuva
alisema.wanasubiri vifaa vifike na vitakapofika tu zoezi ilo litaanza mara moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein, kwa pamoja wakiinua juu kuonyesha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa baada ya kukabidhiwa rasmi na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta na kuizindua jana mjini Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti, Samiah Suluhu, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri mjini dodoma jana kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za makabidhiano ya Raismu ya Katiba mpya. 

Baadhi ya Mabalozi waliohudhuria sherehe hizo
Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa uwanjani hapo.
Baadhi ya Wajumbe na wageni waalikwa.
Sehemu ya wageni waalikwa.....
Jukwaa la wapiga picha.... KWA MUUKIO ZAIDI YA PICHA ZA SHEREHE HIZO BOYFA READ MORE
Bendi ya ikitoa burudani jukwaani.....
Baadhi ya wabunge wakifurahia wakati wakisebeneka na miondoko ya Taarab kutoka kwa Khadija Kopa
Mbunge wa Maswa John Shibuda, akijumuika na wasanii wa ngoma ya asili kutoka Mkoa wa Shinyanga kusebeneka...
Martha Mrata na Mageth Sita wakifurahia wakati wakiserebuka katika sherehe hizo.
Wajumbe wakiserebuka
|Serebuka....
Wajumbe wakirudi jukwaani....
Wasanii wa bendi ya TOT Taarab wakishambulia jukwaa.....
Baadhi ya wafanyakazi wa Bunge.....
Mrema akiungana na wajumbe wenzake kusherehekea.....
Kila mmoja alikuwa na furaha teleee.....
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na viongozi wa jukwaa kuu baada ya kuwasili uwanjani hapo.
Wajumbe na wageni waalikwa wakisimama kuimba wimbo wa Taifa..
Jukwaa Kuu wakisimama kuimba wimbo wa Taifa....
Baadhi ya Wajumbe....
Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi Andrew Chenge, akisoma hotuba yake...
Wimbo maalum wa Katiba uliotungwa na kuimbwa na wajumbe wanawake....
Msanii Mrisho Mpoto na Ismail wakitoa burudani...
Rais Kikwete akikabidhi Vyeti kwa Wajumbe washiriki wa Bunge hilo....Paul Kimiti wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu ndogo mjini Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti Asha-Rose Migiro..
Zoezi la kukabidhi vyeti likiendelea kwa Wajumbe washiriki wa Bunge hilo..
Mbunge wa Maswa John Shibuda, akikabidhiwa cheti na Rais Kikwete.
Paul Makonda, akikabidhiwa cheti na Rais.....
Picha ya pamoja kwa kumbukumbu viongozi wakuu wa kitaifa na wenyeviti wa Bunge hhilo..
Picha ya pamoja......
0 comments:
Chapisha Maoni