Wajasiriamali wadogo na wakati wapatiwa semina ya kufahamu
sheria ya Ajira pamoja kujuwa wajibu wake wa kazi kuwa na uwelewa wa misingi ya
haki ili waweze kufahamu sheria za
ajira.
Semina hiyo imeandaliwa na Chama cha wajiri ,wizara ya
kazi,Shirika la kazi Duniani kwa lengo la kuwapatia uwelewa wa kutoa ajira kwa
wajasiriamali wadogo na wakati ,pamoja na waajiriwa kujua haki zao za ajira
pamoja na sheria za kazi,jumla waliopatiwa mafunzo hayo wajasiriamali wapatao
100 kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam
Afisa wa Kazi mkuu wizara ya kazi na Ajira Baltazar John
Mushi amesema hipo aja ya Jamii nchini
kujua sheria ya Ajira na wajibu wake katika ajira yake sehemu yake ya kazi
pamoja na LIkizo ili wasipoteze haki yake anapokuwa na huwelewa wa ajira.
Afisa mradi shirika
la Kazi Duniani ILO Bi Rukia Lukanza na Mkufunzi kutoka shirika la kazi
Duniani Ben Mwambela wamesema endapo Jamii ikiwa na
huwelewa haki zao zitakuwa hazizurumiwi hata waajiri watafata sheria kwa wafanyakazi
wao
Naye Mwanasheria kutoka chama cha Waajiri Tanzania Bi
Suzane Ndomba pamoja na wahitimu wa
mafunzo ya ya sheria ya ajira walikuwa
na haya ya kusema
0 comments:
Chapisha Maoni