Mamlaka ya Mapato Tanzania
TRA Imezindua wiki ya Mlipa KOdi
lengo likiwa ni kutoa elimu jinsi ya ulipaji Kodi kwa wateja wao,Uzinduzi huo
umefanyika katika Viwanja vya TCC Club
Jijini Dar Es Salaam
Akiongea katika Uzinduzi huo
wa Bonanza uliotayalishwa na Mamlaka wa Mapato Tanzania TRA dhumuni la
Tamasha ilo ni kuongezea Jamii uwelewa wa kulipa kodi kwa wakati,
Kamishina wa Forodha na Ushuru Tiatel Kabisi mgeni
rasmi amesema lengo kutoa elimu kwa
jamii ili wapate uwelewa wa kulipa Kodi ,ambapo aliweza kuelezea kauli mbiu ya
mwaka huu Mteja kupata List ni haki
yako,mfanyabiashara asiyetoa List ana kwepa Kodi
Tiatel Kabisi hata hivyo amesema kumewa kumefanyika Bonanza ambalo limeshirikisha
michezo mbalimbali kati ya NSSF na TRA
ambapo NSSF waliwakilisha walipa kodi wenzao
Afisa Uendashaji wa Technohoma na mawasiriano NSSF Kassim
Mwawanda Kocha wa NSSF na Afisa wa Elimu na huduma kwa Mlipa Kodi TRA ,Lameck
Ndinda Kocha wa TRA wamesema michezo ni moja ya kujuwana,kuelimishana na
kujenga afya,
0 comments:
Chapisha Maoni