Mwenyekiti
wa
Chama cha Wananchi CUF Prof.Ibrahim Lipumba, akizungumza na waandishi
wa
habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu sakata linaloendelea nchini la
wizi wa
fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow, ambapo chama hicho kimewata
waliohusika kwa namna mbalimbali wajiuzulu au wafukuzwa haraka,
akiwataja baadhi alisema Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Jaji Warema, Waziri wa Nishati na Madini Pro.Sospeter, Mhongo
na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi, kulia ni
Mkurugenzi wa ulinzi na
usalama wa CUF taifa Yusufu Omari na Naibu Mkurugenzi wa habari na
uenezi CUF
taifa Abdul Kambaya.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni