Mratibu
wa maadhimisho ya kampeni ya siku 16, za kupinga ukatili wa kijinsia mwaka huu
Dk.Judith Odunga kutoka taasisi ya WiLDAF, akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu maadhimisho hayo ambayo huanza Nov25 kila mwaka, siku iliyotengwa kimataifa kupinga ukatili kwa
wanawake ambapo ndani ya siku hizo matukio mbalimbali yatafanyika, kulia ni
Afisa Mipango kutoka CDF, Fransisca Silayo na Afisa Mipango kutoka taasisi ya
WiLDAF Anna Kuvaya.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Chapisha Maoni