WANAFUNZI WASHINDWA KUKAMILISHA MASOMO KUTOKANA NA KUKESHA MIZIKI MAARUFU KAMA VIGODORO

Bado jamii inaendelea kukabiliwa na matatizo ya watoto kushindwa kufanya vizuri darasani au kuacha kabisa shule.Hii imeonekana baada ya kampuni ya Next level  na Golikipa wa Simba Ivon Mapunda kutembelea shule ya Msingi Sanze na shule ya Msingi Chanzige A za Kisalawe na kutoa misaada kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu na yatima.

Jamii imeshauriwa kutolifumbia macho suala hili na kuachana na mila na desturi potofu zisizo na Tija.







Ivo Mapunda golikipa wa Simba akitoa msaada kwa watoto.







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List