TRA YATOA TUZO KWA WALIPA KODI WAZURI TANZANIA

Mamlaka ya mapato Tanzania imeendelea kutoa Tuzo za Pongezi kwa wafanya biashara wote wanaendelea kulipa kodi vizuri ili kuchochea uadilifu katika ulipaji wa kodi.Akiongea na Mwandishi wa Blog wamebainisha kuwa Kodi ya wafanyabiashara ina mchango mkubwa katika uboreshaji wa Huduma za jamii na Shughuli zingine za kimaendeleo ndani ya Tanzania.

Pia imeelezwa kwamba kitendo cha kukwepa kulipa kodi ni kitendo cha ufisadi na kuhujumu uchumi wa nchi.Mamlaka ya mapato inaendelea na shughuli mbalimbali ikiwemo michezo,elimu na utoaji wa Tuzo kwa watu waliofanya vizuri katika ulipaji wa Kodi.
Mwenyekiti IPP media ltd Reginand Mengi wakipeana mkono wa pongezi na Mkurugenzi wa Blog hii Gloria Matolla baada ya kupata tuzo ya ulipaji kodi bora.

Bwana Mengi akipewa cheti cha Tuzo ya ulipaji kodi bora.

Baadhi ya Wafanya biashara waliozawadiwa tuzo na Mamlaka ya Mapato Tanzania.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List