BONDIA VICENT MBILINYI AGALAGAZA YUSUFU MKALI KWA K,O

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya tatu kwa kumpiga makonde mfululizo Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde  na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya tatu kwa kumpiga makonde mfululizo Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Chipkizi katika tasnia ya mchezo wa masumbwi nchini anaekuja kwa kasi Vicent Mbalinyi mwishoni mwa wiki iliyopita amefanikiwa kumpiga kwa K,O ya raundi ya tatu

bondia Yusufu Mkali mpambano uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa manyara parck manzese 

mpambano uho ulioanza kwa mashambilizi ya zam kwa zam na kushangiliwa na mashabiki wa kila upande
ambapo kili mmoja alikuwa na molali ya mchezo uho ata hivyo ilivyofika raundi ya tata Mbilinyi alipiga  ngumi mchanganyiko mfululizo na refarii Saidi Chaku alisimamisha mpambano uho uku bondia Mkali akichuluzikwa na damu nyingi juu ya jicho kwa ngumi alizopigwa

mpambano uhu ni wa nne kwa mbilinyi tokea aingie rasmi katika masumbwi ya kulipwa akiwa chini ya kocha Rajabu Mhamila 'Super D'
katika mchezo wake wa kwanza alicheza na Kulwa Bushili

 ambaye alimshinda kwa pointi mchezo wake wa pili alicheza na  Halidi Manjee mchezo ambao ulikuwa na upinzani wa ali ya juu katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba na kufanikuwa kumnyuka Manjee mchezo wake wa tatu alicheza katika uwanja wa ndani wa taifa na Epson John wa Morogoro na kutoka nae droo ya kufungana kwa point za majaji


VICENT MBILINYI

Bondia Vicenti Mbilinyi kushoto wakati wa mazoezi akiwa amepozi na bondia Ibrahimu Class ;King Class Mawe' ambaye ni bingwa wa mikanda miwili ya Afica wa WPBF alioupata Zambia na wa U.B.O alioupata baada ya kumdunda Cosmas Cheka wa MOROGORO

Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List