Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Bondia Wang Xin Hua
kutoka China 'kushoto' na Mohamedi Matumla
Mabondia Japhert Kaseba Kushoto akitunishiana misuli na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee Picha na SUPER D BOXING NEWS
0 comments:
Chapisha Maoni