Tanzania ina jumla ya Halmashauri 168 zilizoshiriki,ambapo 49 miongoni mwao zimeweza kukidhi mahitaji ya shindano hilo.
Waziri wa nchi ofisi ya rais,utumishi Hawa Ghasia amesema hivi sasa Serikali inaangalia namna bora ya kukabiliana na waarifu kwenye halmashauri,hususan wanaofuja fedha za miradi ya wananchi.
Meya wa jiji la Dar es Salaam Didas Masaburi,amesema watanzania hivi sasa wanataka kuona watumishi wa aina hiyo wanawajibishwa ili kuondoa lawama zinazoelekezwa Serikalini za kushindwa kukalibiana na wafujaji hao.
Wananchi watashirikisha kupiga kura kuchagua halmashauri inayofanya vizuri,na majaji watakaochaguliwa kusimamia zoezi hilo na halmashauri.
Mh:Hawa Ghasia
Mh:Didas Masaburi,
0 comments:
Chapisha Maoni