MAJAJI, MWENDESHA MASHTAKA WAUAWA BAADA YA MORSI KUHUKUMIWA KIFOMajaji wawili na Mwendesha mashtaka mmoja wameuawa kwa kupigwa risasi juzi kufuatia Mahakama ya Misri kumhukumu Mohammed Morsi pamoja na washtakiwa wengine zaidi ya 100 adhabu ya kifo.
Kwa mujibu wa gazeti la Gulf Daily News mauaji hayo yaliyofanywa katika Mji Mkuu wa Jimbo la Sinai Kaskazini, El-Arish baada ya Mahakama iliyoko jijini Cairo kumhukumu kifo rais huyo wa zamani kwa kukutwa na hatia ya kuhusika na uvunjwaji wa gereza wakati wa machafuko ya mwaka 2011.
Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List