Rais wa Afrika ya kusini Jacob Zuma amekuwa kiongozi wa hivi karibuni anayetaka uchaguzi wa urais nchini Burundi kuahirishwa.
Akizungumza
baada ya mkutano wa kieneo nchini Angola,Bwana Zuma alisema kuwa
uchaguzi huo haupaswi kufanyika hadi hali ya amani itakaporudi nchini
humo.
Maandamano Burundi
Maandamano yanaendelea katika mji wa Bujumbura kufuatia jaribio la mapinduzi la wiki iliopita.
Rais wa taifa hilo amekana madai ya kutaka kulipiza kisasi dhidi ya watekelezaji wa shambulio hilo.
Nkurunziza
Wafanyikazi wa mahospitali
nchini Burundi awali walielezea kuwa kumekuwa na mshambulizi ya kulipiza
kisasi ambapo polisi wamekuwa wakiwajeruhi wanajeshi waliodaiwa
kuhusika na jaribio hilo.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
FALIALA MBUTU KUZIKWA JUMATATU DISEMBA 29
-
Mazishi ya mwanamuziki Faliala Mbutu ambaye alikua mume wa mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa dansi Luiza Mbutu yatafanyika Jumatatu tarehe
Desemb...
0 comments:
Chapisha Maoni