STANLEY MABESI 'NINJA' AMFAGILIA KOCHA SUPER D

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa katika picha na pamoja na bondia wa zamani Stanley Mabesi 'Ninja' wa pili kushoto  ambaye kwa sasa anaishi nchini Holland mji wa amsterdam wengine ni mashabiki wa mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa  pamoja na bondia wa zamani Stanley Mabesi 'Ninja' ambaye kwa sasa anaishi nchini Holland mji wa amsterdam
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu

BONDIA wa siku nyingi Stanley Mabesi 'Ninja' aliekuwa akizipiga kuanzia mwana 1985 na kumalizia mpambano wake wa mwisho mwaka 2001 na kujijengea heshima kubwa nchini juu ya mchezo wa masumbwi

amempongeza kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' alipokuja hivi karibuni akitokea nchini Holland anapoishi kwa sasa Mabesi alimpongeza Super D kwa kuwainua vijana mbalimbali katika mchezo wa masumbwi mojawapo ni kuwapa vifaa vya mchezo uho bule au ata kuwapatia kwa galama nafuu zaidi vifaa hivyo na kubuni njia moja wapo raisi kwa kuwandalia DVD zenye mafunzo ya mchezo uho uku akichanganya na mabondia mbalimbali wa nje wanaotamba Duniani

Mabesi ambaye alitamba sana akiwa anacheza na Somwe Patauli,Felix Joseph,Emmanuel Kimaro,Charles Libondo.Eliud Morgan,Iraq Hudu,Deo Wanana,Rashid Matumla,George Sabuni,Maneno Oswald,
Ramadhan Miyeyusho

mabondia hawo a
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List