Jumuiya ya wazazi wa ccm imekabidhi pikipiki kwa makatibu wa wilaya ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kupunguza kero ya usafiri na kuwawezeha kufika maeneo yote kwa urahisi na kujipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao kupitia jumuiya hiyoo


Inahusika na mambo ya utoji wa habari na matangazo
0 comments:
Chapisha Maoni