ALBINO NA TIBA

Watu wenye ulemavu wa ngozi  wame eleza kuridhishwa na hatua zinazo chukuliwa kuendeha na serikali za kuwalinda dhidi ya mauwaji ingawa bado wanatoa wito kwa serikali kusambazwa waraka wa tiba kwenye mahospitali  utakao wawezesha kupata huduma bila kunyanyapaliwa


malemavu hawa pamoja na mambo mengine wana changamoto mbali mbali za kiafya hususan kwenye ngozi  ambazo huitaji fedha nying kukabiliana nazo wakati ambpo wengine wanakipato cha chiniShare on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List