Wananchi wa eneo la bunju lililoko manispaa ya kinondoni jijini dar es salaam wameamua kuchoma moto kituo cha polisi cha bunju kutokana na hasira zilizo sababishwa na kugongwa na gari mtoto wa darasala la nne wa shule ya msingi bunju A
hatua hii inakuja baada ya kuwepo kwa matukio mengi ya kugongwa na magari katika eneo hilo bila
kuwepo kwa hatua zozote zinazo chukuliwa na
jeshi la polisi ingawa wamekuwa wakitoa tarifa
mara kwa mara
KAMISHNA WA NCAA AONGOZA MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU NGORONGORO, KARATU
-
Mwandishi wa NCAA, Karatu.
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw.
Abdulrazaq Badru amewaongoza watumishi wa Mamlaka ...
Saa 5 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni