Watu wanao sadikika kuwa ni majambazi wamevamia kituo cha polisi stakihari kilichopo ukonga jijini dar es salaam na kuwa askari polisi wa nne walio kuwa wakilinda kituo raia wawiwli walio kuwawakipata msaada kutoka kituoni hapo pamoja na jambazi mwenzao mmoja
watu hao walivamia kituo hiko kwenye majira ya saa nne usiku wa kuamkia jumatatu hii walifanikiwa kutoweka baada ya kutekeleza mauwaji hayo na kukimbia na baadhi ya silaha zilizo kuwa kituoni hapo
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
-
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO
Dakika 47 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni