KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMA KINANA AMEWEZA KUKUSANYA MILIONI 700 KATIKA HAMBEE YA UWT


                                    
Umoja wa wanawake wa ccm Tanzania UWT, Imekuanya jumla ya shilingi milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa jengo  la kitega uchumi la umoja huo,ili kuweza kujitegemea 
 
UWT  imekusanya fedha hizo katika harambee iliyoongozwa na katibu mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinan  jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wanachama wa umoja huo kutoka mikoa yote ya tanzania bara na zanzibar















Mwenyekiti wa kamati ya harambee ,Dokta Mauwa Daftar , amemshukuru kinana kufanikisha harambee hiyo na wengine  walio jitokeza kuchangia akisema maendeleo yote yanatokana na wanawake










Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List