NABII NICOLOUS SUGUYE AKAMILISHA AHADI YAKE YA KUWEKA UMEME KATIKA SHULE YA SECONDARY YA KIVULE

 
 Mtumihi wangu wa Kanisa la The word of reconciliation ministries  WRM.Kivule Jiji Dar Es Salaam Nicolans Suguye Nabii ametimiza ahadi aliyotowa ya kuingiza umeme kwenye Shule ya Sekondari ya Kivule baada ya kualikwa katika mahafari ya wahitimu wa shule hiyo mwaka jana 2014 baada ya kusomewa risala ya shule siku hiyo na kuipokea changamoto ya umeme na kuahadi ataifanyia kazi.
Nabii Nicolans Suguye na Mwalimu mkuu wa Sekondari Kivule Benedict Ogea wakipeana mkono wa pongenzi baada ya kukamilisha upatikanaji wa Umeme  baada ya Nabii Nicolans Suguye kujitolea kwa gharama zake kusaidia huduma hiyo ili wanafunzi waachane na kuvujisha kwa mitihani kwenye maduka waliyokuwa wanatumia shule hiyo kushapa mitihani, Pia kuwepo kwa umeme wataweza kutumia mahabara iliyopo shule hiyo kufanya vizuri somo la Sayansi,hata huduma ya maji safi wameweza kupata kwa kutumia Kisima kilicho chimbwa kwa muda .Nabii Nicolans amesema ametoa maada huo kutokana na wajibu wake akiwa ni mtumishi wa Mungu kuaidia jamii pale panapoitajika akiwana na uwezo wa msaada huo ameendelea kueleza aitaji uongozi wowote kutokana na mitaada mbalimbali anayoitowa kwa Jamii nchini. 



 


Nicolaus Suguye akiwasisitiza wanafunzi wasome kwa bidii kutokana na umeme kuwepo
Nabii na Mwl Mkuu wakibadilishana mawazo
Baadhi ya walimu wa secondari ya kivule

Wanafunzi wa secondari ya kivule
Wanafunzi wa secondari ya kivule







Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List