BAADHI YA WATANGAZANIA YA KUWANIA UBUNGE WILAYA YA TEMEKE JIMBO LA KIGAMBONI,MBAGALA NA TEMEKE WAKABIDHI FORM

Kaimu mkurugenzi wa Redio Uhuru Angel Akilimali amerudisha fomu ya kuwania ubunge vitimaalumu vyuo vikuu huku lengo lake kuu ni kutetea haki ya ajira kwa wandishi wa habari nchini

Tambo Hiza akikabidhi fomu ya ubunge kuwania jimbo la mbagala ,fomu ikipokelewa na katibu mwenezi wa wilaya ya temeke Yona Sengelima
Hatibu Miraji Zombe akikabidhi fomu ya ubunge kuwania jimbo la kigamboni,fomu ikipokelewa na katibu mwenezi wa wilaya ya temeke

Phares Israel Magesa akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la mbagala kwa katibu mwenezi ccm wilaya ya temeke
Arnold Dominick akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la temeke kwa katibu mwenezi wa wilaya ya temeke
Khalid Khamis Salim(Chicago) akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la temeke kwa katibu mwenezi wilaya ya temeke
Phares Israel Magesa
Abdularahim Abbas akikabidhi fomu ya kuwania ubunge jimbo la mbagala
ARNOLD AKIJAZA FOMU
Khatibu Mharami zombe akikabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo kigamboni kwa katibu mwenezi wilaya ya temeke

Hawa ni baadhi ya watangazania ya kuwania ubunge katika majimbo ya wilaya ya temeke Kigamboni,Mbagala na Temeke ambapo kila mmoja alikuwa na sababu za msingi zilizo mfanya kuwania ubunge katika wilaya ya temeke jijini Dar es salaam


Share on Google Plus

About GLORIA MATOLA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Chapisha Maoni
Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

Google+ Followers

TANGAZO

My Blog List