BONDIA LULU KAYAGE ALIVYO MSAMBALATISHA MWANNE HAJI

Bondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao uliofanyika wakati wa kusherekea sikukuu ya Idi iliyofanyika manzese Dar es salaam Kayage alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS


Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwanne Haji wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya Idi mosi manzese Dar es salaam Lulu Kayage alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mwanne Haji akiwa amepozi
Bondia Lulu Kayage akiwa amepozi
Lulu Kayage na Mwanne Haji baada ya mpambano wao
Ngumi ni mchezo wa Furaha ndio anavyosemekana kushema Mwanne Haji kulia wakati Lulu Kayage akipiga picha ya Pozi
Bondia Lulu Kayage akimshambulia Mwanne Haji wakati wa mpambano wao Lulu Kayage alishinda mpambano uho kwa point

Lulu Kayage na Mwanne Haji wakioneshana Umwamba wa kutupiana Makonde
Mwanne Haji kushoto na Lulu Kayage wakioneshana umwamba wa kutupiana Makonde Kayage alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List