Chama cha ADC ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE wamesema wamejiandaa vizuri kuakikisha uchaguzi ujao wanashinda kwa kishindo uchaguzi mkubwa unao tarajiwa kufanyika hivi karibuni Urais, Ubunge na Udiwani wakijinadi watahakikisha majimbo na kata zote nchini wanapita bila kupingwa
Mh Saidi Miraji mwenyekiti wa ADC taifa amesema chama hiko kimejiandaa kuleta mabadiliko ndani ya taifa katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu afya miundombinu, kilimo
na ujasiliamali.
Pia watahakikisha wanapiga vita masuala ya ufisadi na rushwa pia watatumia njia mbadala za kuwawezesha vijana kupata ajira mbali mbali
NCAA YANADI VIVUTIO VYA UTALII MKUTANO WA PILI WA MABARAZA HURU YA HABARI
AFRIKAl
-
Kassim Nyaki, NCAA.
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) inatumia fursa ya mkutano
wa pili wa mabaraza huru ya Habari Afrika unaofanyika jijin...
Saa 11 zilizopita
0 comments:
Chapisha Maoni