UMUHIMU WA BONANZA



Wanasoka wastaafuu nchini, wamesema kuna umuhimu mkubwa kwa wachezaji wastaafu kushiriki mabonanza ya michezo, ili kuimarisha afya zao na kuepuka malazi mbali mbali.




Wito huo umetolewa na wachezaji wa zamani walio wahi kucheza katika vilabu mbalimbali vya ligi kuu Tanzania bara na Zanzibar, ambayo wameanzisha bonanza la mwambao, ambalo uchezwa kila baada ya miezi miwili jijini dar es salaam.
Bonanza la mwambao ufanyika kila baada ya miezi miwili kwa kushiriki



sha team mbali mbali za maveterani za ukanda wa pwani  kutoka mikoa ya dar es salaam na pwani



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List