Serikali na taasisi za Haki za Binadamu zimeombwa kumsaidia mwananchi Issa Hassani KIlopola kupata Haki yake ya kulipwa malimbikizo ya mshahara wa miaka 25 wa ulinzi wa KIWANJA namba 24 Mtaa wa Mtambani B Kata ya Jangwani jijini dar es salam. Mlinzi Huyo anadai malimbikizi ya mshahara tangu mwaka 1990 kutoka kwa mmiliki wa awali wa KIWANJA hicho Abbulih Majid anayedaiwa kufariki dunia ,KIWANJA ambacho sasa kimeuzwa kwa Mbunge aliyemaliza muda wake Shinyanga Vijijini Suleiman Nchambi., Mlinzi Hugo akiongea na mwandishi wa MTANDAO huu amesema kwa muda mrefu mwajiri wake wa awali aliyempa kazi ya kulinda KIWANJA hicho hajaonelkana tangu aliposafiri kwenda Uarabuni anaomba asaidiwe ,anaomba. Asaidiwe na vyombo husika wanao shughulika na Haki za Binadamu
Baada ya kuona kuna dalili ya kutaka kudhulumiwa Haki yake na MTU asiyemfahamu ambaye sasa amejitokeza na mmiliki wa KIWANJA hicho. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mtambani B Kata ya Jangwani Gungu Tambaza na mmoja wa Wakazi wa mtaa huo.
Mwanasheria Benedict Ishabakaki wa taasisi ya Haki za Binadamu,amesema kitendo alichofanyiwa mlinzi huyo ni unyanyasaji,na amewataka baadhi ya watu juhudi za blog kumpata mmiliki mpya wa KIWANJA hicho ambaye anadaiwa kumuondoa kwa nguvu mlinzi huyo lakini jitihada hizo hazikufanikiwa.kwa Mara kadhaa amepigiwa simu ya mkononi lakini haikupokelewa.
0 comments:
Chapisha Maoni