Watanzania wasikurupuke kuchagua viongozi

Mgombea Udiwani chama cha Mapinduzi kata ya kisarawe tuu jijini Dar es salaam  Issa Zahoro amewataka watanzania wawe makini na kufanya uchaguzi  sahihi  Oktabar 25 mwaka huu kwa wawa chague wagombea wa chama cha mapinduzi.             Asemema kuichagua Ccm in njia pekee ambayo itaweza kuifanya  Tanzania kuendelea na amani iliyopo na kuwa hakuna chama kingine chenye Sera zinazotekelezeka zaidi ya chama cha Mapinduzi    Zahoro amesema hakuna asiyefahamu  CCM imefanikiwa kwa asilimia 87  kufanikiwa kuleta maendeleo ya taifa hili  Kigamboni  Kisarawe tuu imefanikiwa kupata maendeleo ikiwepo MAJI, Umeme, Barbara, Shule, na Zahanati, amewataka wananchi hao waendelee kuwachagua viongozi toka chama cha Mapinduzi hili waweze kuendeleza palipp baki

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List