Wahandisi ujenzi

Maendeleo ya nchi dr magufuli awataka wahandisi kutumia vyema taaluma zao      WAZIRI wa ujenzi fokta john magufuli amewayaka wahandis kutumia viziri taaluma yao kuchsngia maendeleo ya uchumi nchini
Dokta magufuli pia ni mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi ccm amesema iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Tanzania ataipa kipaumbele sekta ya uhandisi ili kukuza uchumi wa taifa             mhandisi ramo  makani amesema wamekubaliana kuitrkeleza dira ya miaka 15 ijayo ili kuhakikisha Tanzania inapiga hatua katika maendeleo ya uchumi

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List