"UKAWA WANACHEMSHA SIUSIKI NA SAKATA LA MAANDAMANO"DR MASABURI

Meya wa jiji LA Dar es salaam ambaye pia in mgombea wa jimbo la ubungo Dar es salaam,Dr Did as Masaburi amekanusha taarifa za kuhusika na sakata la maandamano la vijana wa Chadema yaliyofanyika jumatano wiki hii kuunga mkono hutuba ya Dr slaa.

Vijana hao waliweza kutawanishwa na jeshi la polisi maeneo ya morroco.

Dr Didas Masaburi amesema hausiki na tuhuma hizi na kuongeza kuwa kuna vijana wengi wamefunguka na kupata uelewa hivyo wameamua kuingia Ccm lakini wengine wamefunguliwa na hotuba ya Dr slaa.hivyo yeye ana uhusiano kabisa na maandamano hayo na ukawa wameishiwa na Sera.

Kwa ujumla maandamano hayo yamehusishwa na Diwani wa chadema ambaye amewasaliti vijana wa kata ya ubungo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List