Serikali imeombwa kuongeza muda wa JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita.

Serikali imeombwa kuongeza muda wa mafunzo ya JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita wanaojiunga na jeshi hilo,kutoka miezi mitatu na kuwa miezi sita.

Ombi hilo kwa Serikali limetolewa na mkuu wa utawala wa Mafunzo wa JKT Brigedia Jenerali,Jacob Gideon Kingu.wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya Operesheni KIKWETE ambayo ilirejesha rasmi mafunzo hayo kwa wahitimu wa kidato cha sita mujibu wa sheria.

Wanafunzi hao pia wameeleza mafanikio na changamoto za JKT,naye kamanda wa kikosi cha 932 kj,luten kanali Charles Mbuge anatambulisha moja ya jengo la huduma na mafunzo ya uzalishaji kwa wanafunzi waliopo kambi ya RUVU.

Mafunzo haya yalirejeshwa tangy 2013 na rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List