Wakala wanaosafirisha MIZIGO nje ya nchi kupitia Bandari ya Dar Es Salaam wameanza kutumia Bandari za nyingine za nchi jirani Kutokana na ongezeko la Kodi za mara kwa mara Katika
Bandari za Tanzania.
Bandari za Tanzania.
Kutokana na hali hiyo inaelezwa kuwa Serikali inapoteza fedha nyingi na pia ajira kwa vijana Kutokana na Kodi, zinazoanzishwa na Mamlaka ya Mapato nchini TRA na hivyo Bandari za Tanzania makampuni ya Usafirishaji nchini yamesimamisha shughuli zao kwa kukosa Wateja.
Inaelezwa na Wasafirishaji wa MIZIGO kwamba tozo ya Kodi Katika Bandari ya Dar Es Salaam na Bandari za Msumbiji ni tofauti ya Dola 450 za Marekani.
Tozo kwa Dar Es Salaam likiwa juu kuliko Bandari nyingine na kusababisha upungufu wa wateja kwa kiasi kikubwa.
0 comments:
Chapisha Maoni