TAT (TRANSPOTERS ASSOCIATION OF TANZANIA)

Chama cha Usafirishaji Tanzania wameomba Serikali  kuangalia sharia Mpya iliyowekwa ya kutoza gharama Za huduma hiyo kwa sababu itachangia kuporomoka kwa Uchumi.         Zakaria Hans Pope Rais wa TAT na Stephen  Ngatunga Rais TFFA  pamoja Faisal  Edha,  Mkurugenzi  Overland Logistics,  Omani Kiponza makamu mkt  TAT wameongea hayo na mwandishi  wa blog hii. 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List