haya yamebainishwa na mwandishi wetu wa blog yetu siku chache baada ya watumiaji wa usafili wa treni kukwama maeneo ya Pugu mnadani kutokana na kuanguka kwa behewa la mizigo na abiria hao kushindwa kuendelea na safari.Wakazi wa eneo hilo wameomba serikali kuchukua hatua za haraka za ukarabati na kudhibiti wizi wa miundombinu.
Meneja uhusiano wa shirika la reli Tanzania amekiri kuwa miundombinu chakavu ni chanzo ya shida hiyo na Serikali imeshatenga fedha ya ajili ya Tatizo hilo.Ili kuboresha serikali imejipanga kuboresha mabehewa na kuongeza 22.
0 comments:
Chapisha Maoni