VIJANA WAMEITAKA SERIKALI KUWABORESHEA SEKTA YA AJIRA BINAFSI




Vijana waliokatika Sekta binafsi ya ajira wameitaka Serikali iwasaidie kuwabureshea miundombinu ya ufanyaji wa Kazi zao kwa kuwa wanafanya shughuli zao kwa hali ya shida,usumbuliwa na Mgambo wa Jiji ,Ushuru mkubwa,awana maeneo rasmi ya kufanyia kazi zao,mipaka ya ufanyaji wa kazi zao.

Waendesha Pikipiki na Bajaji wa Jiji la Dar Es Salaam wamesema wapo katika wakati mgumu wa kuwajibika kutokana na karaha wanazopata,kutoka kwa Mgambo na wengine watu wanaovaa kiraia bila kuwajua ni akinana,Polisi Jamii,wamesema awali walikuwa wakijushughulisha na kazi hatalishi ukabaji,upolaji,ujambazi wa kutumia slaa,uzaji wa dawa za kulevya,

Baada ya kutambua kuwa shughuli wanazofanya sio za alali ni hatalishi ,waliamua kujiajiri kazi rasmi ya kuendesha Pikipiki na Bajaji,lakini wamejikuta kuwa katika wakati mgumu kutokana na vikazo wanavyopata,wamesema wanaitaji kuishi maisha bora,pia wanafamilia zinazowategemea,wameiomba serikali iwasaidie ili nao waweze kufanya kazi zao kwa usalama.

Akina dada nao wametakiwa wajitume sio kukaa kuwa tegemezi pomoja na matatizo wanayopata katika biashara zao,wamesema maisha ni kupambana,hali ya sasa ya maisha wanatakiwa kushirikiana pamoja katika ngazi ya familia,kuondokana na hali ya Umasikini wa Kipato.





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List