MAGUFULI APONGEZWA KWA UTENDAJI WA KAZI NA JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA

Umoja wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM Taifa wamempongeza Rais Dk John Pombe Magufuli kwa juhudi zake za kuhakikisha huduma za kijamii, zinarejea kwa watu wote nchini                                       Pongezi hizo zimekuja kufuatia maelekezo ya Magufuli kuwa fedha za sherehe za Wabunge zilizochangwa na taasisi mbalimbali zipelekwe kununulia Vifaa Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na maelekezo mengineyo yanayotaka matumizi ya fedha za umma kudhibitiwa   Abdallah Bulembo ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa anapongeza jitihada,za Rais Magufuli Katika utendaji kazi wake huku akiwataka Watanzania wote kumuunga mkono

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Inaendeshwa na Blogger.

Wanaofuata

TANGAZO

My Blog List